Mfadhili kutoka Kampuni ya Ivode Carneri Foundation Yahya Mohammed Al-Sawaty wakielekea katika kisima cha maji wanachotumia wananchi wa Kijiji cha Mtamba kwa ajili ya matumizi yao (wa pili) Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zawa Omar Mshindo Bakari.
Mfadhili wa ujenzi wa kisima wakiangalia kisima kinachotumika kwa ajili ya matumizi katika kijij cha Mtamba mara walipofika kijijini hapo.
Mmoja wa mkaazi wa kijiji cha Mtamba Sauda Ali Bakari akimpatia maelezo mfadhili na wajumbe juu ya matumizi ya maji katika kisima hicho mara walipofika kijijini hapo kwa ajili ya ujenzi wa kisima
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zawa Omar Mshindo Bakari akizungumza na wananchi hawapo pichani waliyofika kijijini hapo kwa ajili ya kuwapatia taarifa ya uchimbaji wa kisima katka eneo hilo.
Mfadhili wa uchimbaji kisima Kampuni ya Ivode Carneri Foondation Yahaya Mohammed Al-sawaty na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zawa Omara Mshindo Bakari wakiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa kijiji cha Mtamba baada ya kuzungumna nao kuhusa na Uchimbaji wa kisima kijijini hapo.
Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment