Habari za Punde

Mkutano wa udhibiti wa magendo na uhamasishaji wa ulipaji Kodi wafanyika Micheweni Pemba

 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na usala wa Wilaya ya Micheweni wakiwa katika mkutano wa kujadili suala la uzuwiaji  uingizaji wa bidhaa za magendo ndani ya Wilaya ya Micheweni kwenye mkutano
ulioandaliwa na TRA Zanzibar katika uykumbi wa Halmashuari ya Wilaya ya Micheweni.

PICHA NA BAKAR MUSSA.
 Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, Salama Mbarouk Khatib, akifunguwa mkutano wa udhibiti wa magendo na uhamasishaji wa ulipaji Kodi kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo na masheha wa Micheweni
katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo..

PICHA NA BAKAR MUSSA.

Mkuu wa Forodha Pemba na kaimu Ofisa Mdhamini wa TRA Pemba, Yussuf Haji Haji, akitowa maelezo kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama na Mshehawa Wilaya ya Micheweni, juu ya sheria ya  suala zima la ukwepaji
wakodi kwa kuingiza bidhaa za mageno katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo.


PICHA NA BAKAR MUSSA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.