Habari za Punde

Mafunzo ya kujiepusha na Rushwa makazini yafanyika kisiwani Pemba

 AFISA Mdhamini wizara ya vijana utamaduni sanaa na michezo Pemba Fatma Hamad Rajab, akiwakaribisha wafanyakazi wa Wizara hiyo katika mafunzo juu ya  suala zima la Rushwa makazini, huko katika ukumbi wa Wizara hiyo Gombani Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AADHI ya wafanyakazi wa wizara ya Vijana utamaduni sanaa na michezo Pemba, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa mada mbali mbali juu ya suala zima la rushwa makazini,huko katika ukumbi wa Wizara hiyo Gombani Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKURUGENZI uwendeshaji na Utumishi Kutoka Wizara ya vijana utamaduni sanaa na michezo Zanzibar Joseph Kilangi, akifungua mkutano wasiku moja kwa wafanyakazi wa wizara hiyo Pemba, juu ya suala zima la Rushwa makazini, huko katika ukumbi wa Wizara hiyo Gombani Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MDHAMINI wa Mamlaka ya kuzuwia Rushwa na Uhujumu Uchumi Pemba Suleiman Ame Juma, akiwasilisha mamda mbali mbali juu ya suala Rushwa Makazini kwa watendaji wa Wizara ya vijana utamaduni sanaa na michezo Pemba,huko katika ukumbi wa Wizara hiyo Gombani Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.