Mshiriki wa Bonaza la Wazee kutoka Mkoa wa Kusini Unguja akishiriki katika mchezo wa kufukuza Kuku wakati wa Bonaza hilo lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar. na hatimai ameibuka mshindi katika mchezo huo na kujinyakulia zawadi ya fedha taslim na kuku huyo.
Washiriki wa mchezo wa kuvuta kambo kutoka kombaini ya Mkoa wa Kusini na Kaskazini na Mjini Magharibi Unguja waliofanyika katika Uwanja Mao Zedong.Timu ya Wazee ya Kombaini ya Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja imeibuka mshindi wa mchezo huo wa Bonaza la Kuashimisha Siki ya Wazee Duniani.
No comments:
Post a Comment