Habari za Punde

RC Shigella Akutana na Kufanya Mazungumzo na Wamiliki Wapya wa Kiwanda Cha Kuzalisha Saruji cha Rhino Jijini Tanga.

MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wamiliki wapya wa  kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji.
MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto akizungumza na wamiliki wapya wa  kiwanda cha Kuzalisha Saruji cha Rhino kilichopo Jijini Tanga ambao walifika ofisini kwake kujitambulisha kushoto  ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa
VIONGOZI mbalimbali wakifuatilia mazungumzo hayo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na aliyevaa miwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji na Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga (DAS) faidha Salim

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.