Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Akagua Skimu ya Umwagiliaji ya Kiwalala Katika Halmashauri ya Mtama.

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama mkoani, Lindi,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maandalizi ya Ofisi za muda za Halmashauri ya Mtama Oktoba 17, 2019. Wa pili kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na Wa tatu kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtama, M. Matei.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Mtama  baada ya kukagua maandalizi ya ofisi za muda za halmashauri hiyo Oktoba 17, 2019. Kushoto ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua skimu ya umwagiliaji ya Kiwalala katika Halmashauri ya Mtama Mkoani Lindi, Oktoba 17, 2019. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga na wa tatu kushoto ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.