Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Bi.Tabia Maulid Mwita, akifunguwa Kongamano la Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Kusini Pemba lampongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Moh'd Shein, kwa kutimiza miaka 9 ya uongozi wake , lililofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi Pemba.
Mbunge wa Viti maalumu UVCCM Mkoa wa Kusini Pemba,Mhe. Munira Mustafa Khatib, akizungumza na Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkowa huo katika Kongamoano la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Moh'd Shein, katika kutimiza miaka 9 ya Uongozi wake wa awamu ya saba, lililo fanyika katika ukumbi wa kiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi Pemba.
Baadhi ya Watendaji wa Serikali Mkoa wa Kusini Pemba, wakiwa katika Kongamano la UVCCM, la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk, Ali Moh'd Shein, kutimiza miaka 9 ya Uongozi wake lililofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi Pemba.
Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kusini Pemba, wakiwa katika Kongamano la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk, Ali Moh'd Shein, kutimiza miaka 9 ya Uongozi wake lililofanyika katika ukumbi wa kiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi Pemba.
Mbunge wa viti maalumu wa UVCCM, Mkoa wa Kusini Pemba, Munira Mustafa Khatib,akiwa juu ya moja ya Piki piki zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk, Ali Moh'd Shein, baada ya
kukabidhiwa huko katika ukumbi wa Kiwanda cha Mafuta ya Makonyo Wawi Pemba.
No comments:
Post a Comment