Habari za Punde

PSI Yakabidhi Vifaa Kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum ya Michakaeni Pemba.

AFISA Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba Ndg. Mohammed Nassor Salum, akimkabidhi vifaa vya wanafunzi wenye ulemavu kwa skuli kwa skuli ya Michakaeni, mmoja wa walimu wanaosomesha elimu Mjumuisho katika skuli hiyo, vifaa vilivyotolewa na PSI. 
MWAKILISHI wa Shirika la PSI Pemba Mkubwa Ahmed Omar, akimkabidhi baadhi ya vifaa vilivyotolewa na shirika la PSI, Afisa Mdhamini Wizara ya Elimu Pemba Mohamed Nassor katikati, kwa wanafunzi wenye ulemavu na skuli zenye kutoa huduma za elimu Mjumuisho Pemba

AFISA Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba, Mohamed Nassor akizungumza na baadhi ya walimu wa skuli za Pemba ambazo zinanufaika na misaada kutoka shirila la PSI, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara elimu Pemba.
MWAKILISHI wa shirika la PSI Pemba Mkubwa Ahmed Omar, akizungumza na baadhi ya walimu wa skuli za Pemba ambazo zinanufaika na misaada kutoka shirila la PSI, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara elimu Pemba
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.