Habari za Punde

Viongozi wa Mabaraza ya Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Pikipiki

Baadhi ya Viongozi wa Mabaraza ya Vijana ya Wilaya za Pemba, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali baada ya kukabidhiwa Piki Piki kutoka Idara ya Vijana Pemba
Afisa Mdhamini Wizara ya Katiba na Sheria Pemba Ndg.Matar Zahor Massoud, akimkabidhi baadhi ya stakbadhi za pikipiki mmoja ya viongozi wa baraza la Vijana Wilaya ya Micheweni, piki piki hizo zilizotolewa  na Wizara ya Vijana Sanaa Utamaduni na Michezo Pemba
BAADHI ya Piki Piki ambazo wamepatiwa mabaraza ya Vijana ya wilaya nne za Pemba, zilizotolewa na Wizara ya Vijana Sanaa Utamaduni na Michezo Pemba,  kwa lengo la kusaidia usafiri katika ufanyaji kazi wa viongozi wa Mabaraza hayo


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.