Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa  wakiwa katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo  na (kushoto) Mbunge kupitia Baraza la Wawakilishi Mhe Jaku Ayoub Ismail 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.