Habari za Punde

Muonekano wa Utanuzi wa Barabara ya Morocco Hadi Mwenge Ukiendelea na Ujenzi Huo.

Upanuzi  wa Barabara ya Morocco – Mwenge ukiendelea kwa kasi katika eneo la Sayansi na Bamaga pamoja na Barabara ya Shekilango-Bamaga inayojengwa pia kwa njia nne kama inavyoonekana pichani.Sehemu ya Mitaa ya Mwananyamala Bwawani ambayo barabara zake zimejengwa kwa Zege na kuondoa kero ya miaka mingi ya barabara hizo za mitaa. 
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.