Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo Maliasili Uvuvi na Mifugo Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa robo mbili ya Julai-Disemba2019/2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Manga Mjengo Mjawiri(kushoto) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa robo mbili ya kipindi cha Julai-Disemba 2019/2020 katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar, Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilikmo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi  Nd,Marium Abdalla Saadala  (kushoto) alipokuwa  akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa robo mbili Julai-Disemba 2019/2020  katika mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Raios wa Zanzib ar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Naibu Katibu Mkuu anayeshuhulikia (Mifugo na Uvuvi) Dkt.Omar (kulia)
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Marium Abdalla Saadala (kushoto) pamoja na watendaji mbali mbali katika Wizara hiyo wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa robo mbiili ya Julai-Disemba 2019/2020, kilichofanyika leo ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Ikulu Mjini Zanzibar
Wakuu wa Idara mbali mbali na Maafisa katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi wakiwa  katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa robo mbili ya  Julai-Disemba 2019/2020 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 24/02/2020.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.