Habari za Punde

Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Lafana Kwa Wasanii Mbalimbali Kukonga Nyoyo za Wageni na Wananchi wa Jijini la Zanzibar.

Wasanii kutoka Ghana na UK wa Kikundi cha ONIPA wakitowa burudani katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar wakati wa onesho la Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar, lililofanyika wiki iliopita Visiwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.