Habari za Punde

Wananchi wa Zanzibar Wajumuika katika Maziko ya Marin Hassan Marin Yaliofanyika Katika Eneo la Kibweni leo Saa Nne Asubuhi na Kuzikwa Katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi "B" Unguja u Innaa Lillaahi Wainnaa ilayhi Raajiuun Buriani Marin Hassan Marin.

Wanachi wakiungana na Ndugu na Familia wa Marehemu Marin Hassan Marin katika kisoma cha hitma kilichofanyika nyumbani kwao eneo la Kibweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja na kuhudhuriwa na Waandishi wa Habari wa Zanzibar na Tanzania Bara. Maziko hayo yamefanyika leo Saa Nne asubuhi na kusaliwa katika Msikiti wa Kibweni KMKM na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe.
Kisomo hicho cha Hitma ya kumuombea marehemu kimeongozwa na Bi. Samiha  na kuhitimishwa na yeye.

Wananchi wakiwa wamebeka jeneza likiwa na Mwili wa Marehemu Marin Hassan Marin wakitoka nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kuupeleka msikitini kwa kuomba na na kufanya taratibi za maziko yaliofanyika leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.
Wananchi wakiwa wamebeka jeneza likiwa na Mwili wa Marehemu Marin Hassan Marin wakitoka nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya kuupeleka msikitini kwa kuomba na na kufanya taratibi za maziko yaliofanyika leo katika makaburo ya Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.



Wananchi wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa marehemu Marin Hassan Marin wakielekea katika Msikiti wa KMKM Kibweni kwa ajili ya kuuombea na  dua.
Wananchi wakiwa wamebeba jeneza likiwa na mwili wa marehemu Marin Hassan Marin wakielekea katika Msikiti wa KMKM Kibweni kwa ajili ya kuuombea na  dua.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Wziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo Mhe. Harrison Mwakiembe wakiwasili katika viwanja vya Msikiti wa Kibweni KMKM kwa ajili ya kuhudhuria msiba wa Mwandishi Mwandamizi wa TBC Marin Hassan Marin, uliofanyika leo saa Nne asubuhi na kuzikwa makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.