Habari za Punde

Gari za abiria zabandikwa stika zenye ujumbe wa Korona kisiwani Pemba

 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadidi Rashid (kulia) akipata maelezo kutoka kwa katibu wa Jumuiya ya wasafirishaji mkoa wa kusini Pemba (PESTA) Hafidh Mbarka Salim,  juu ya ubandikaji wa stika katika magari ya abria zinazofanya ruti zake baina ya wilaya ya Chake Chake na wilaya ya Micheweni, Mkoani na Wete, zenye ujumbe wa Corona.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid, akibandika stika katika moja ya basi la abira zenye ujumbe wa adalili za ugonjwa wa Corona, zilizotolea na jumuiya ya  Jumuiya ya wasafirishaji mkoa wa kusini Pemba (PESTA) kwa magari ya abria zinazofanya ruti zake baina ya wilaya ya Chake Chake na wilaya ya Micheweni, Mkoani na Wete, zenye ujumbe wa Corona.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)


MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid, akizungumza na wananchi, madereva na makondakta wa gari katika standi ya gari hizo Chake Chake, mara baada ya kubandika stika zenye ujumbe wa ugonjwa wa Corona zilizotolewa na PESTA. (PICHA NA ABDI SULEIMAN)   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.