Habari za Punde

Muonekano wa Mitaa ya Mji Mkongwe Visiwani Zanzibar.

Muonekano wa Mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar wakati huu wa kupambana na Maambukizo ya Maradhi ya Corona baadhi ya Maduka ya Kitalii yakiwa yamefungwa kutokana na wateja wa bidhaa hizo za kitalii kutokuweko 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.