Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji
Mstaafu Semistocles Kaijage, akiendesha Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa
kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na
Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika 27, Mei 2020, JNICC Jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera, akizungumza katika Mkutano wa NEC
na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano
ambao umefanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mwenezi wa
Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu. Humphrey Polepole akichangia hoja katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na
kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano
ambao umefanyika katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Vyama vya
Siasa, Jaji Mstaafu.Francis Mutungi akifuatilia Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni
na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano
ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika akichangia hoja katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na
kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano
ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Picha na Idara ya
Habari-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment