Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Ziarani Mkoani Kigoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwasili, katika uwanja wa ndege wa Kigoma, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma, May 23 2020
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua kitalu cha miche ya michikichi cha Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, lkilichopo Katosho Kata ya Kibirizi, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua shughuli za kukuza miche ya michikichi, katika kitalu kilichopo kwenye Gereza la Kwitanga, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua kitalu cha miche ya michikichi cha Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, lkilichopo Katosho Kata ya Kibirizi, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipokea taarifa kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Kikosi 821 Bulombora, Meja Victor Faustin, baada ya  kukagua kitalu cha miche ya michikichi, katika shamba la Kikosi 821 Buulombora, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, wakati alipotembelea, shamba la miche ya michikichi la Kikosi 821 Bulombora, baada ya kukagua shamba hilo, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa shamba la michikichi na Kaimu Mkuu wa Kikosi 821 Bulombora, Meja Victor Faustin, baada ya  kukagua kitalu cha miche ya michikichi, katika shamba hilo, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimkabidhi mche wa chikichi, Mkulima anayetoka katika Chama cha Ushirika cha Mkombozi AMCOS, Merikia James, mara baada ya  kukagua kitalu cha miche ya michikichi, katika shamba la Kikosi 821, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipanda mche wa chikichi, kwenye shamba la Kikosi 821, akiwa katika ziara ya siku moja, iliyolenga kukagua maendeleo ya zao chikichi mkoani Kigoma, May 23 2020 ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.