Habari za Punde

Dk Hussein Mwinyi arudisha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM

 Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo wakati akirudisha  fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM leo
Katibu wa Idara ya Oganizeshi ya CCM Zanzibar Ndg. Galoso Nyimbo akipokea Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi am,bayo tayari imeshajazwa leo Afis Kuu ya CCM Kisiwandui


 Waziri wa Ulinzi na Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi akiongea na wanahabari baada ya kurejesha fomu ya kugomea urais wa Zanzibar kupitia CCM leo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.