Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFANYA ZIARA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA CCM KIGAMBONI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Kadi ya CCM kabla ya kumkabidhi  aliyekuwa Mwenyekiti wa Bawacha na Diwani Viti Maalum Wilaya ya Kigamboni  Bibi Stella Masanja  Baada ya kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni  katika kata ya Somangile Gezaulole.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na  aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha Wilaya ya Kigamboni na Diwani wa Viti Maalim  Bibi Stella Masanja  baada ya kukihama Chama cha Chadema na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni  katika kata ya Somangile Gezaulole.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kigamboni katika kata ya Somangile Gezaulole  leo Juni 22,2020 wakati Makamu wa Rais alipokuwa katika ziara ya Kichama Mkoa wa Dar es salaam .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.