Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa
Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo
tarehe 22 Juni 2020.
Baadhi
ya Wakuu wa Wilaya pamoja na Wakurugenzi wakila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi
wa Umma Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
Bakari Msulwa mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta
akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta
akila kiapo cha Maadili Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara
baada ya kumuapisha Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla
fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment