Habari za Punde

UFARANSA YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA BIL. 592.6 KUGHARAMIA MRADI WA UMEME NA MAJI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier wakisaini moja ya Mikataba ya Mkopo nafuu wa shilingi bilioni 592.57 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Nishati ya Umeme unaounganisha Tanzania na Zambia, Mradi wa UmemeVijijini (REA) katika mikoa ya Tanzania Bara na Mradi wa Maji safi na Usafi wa Mazingira katika miji inayozunguka Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Anayeshuhudia katikati ni Mwakilishi mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (ADF) Bi. Stephanie Essombe, Jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, wakibadilishana Hati za moja ya Mikataba ya Mkopo nafuu wa shilingi bilioni 592.57 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Nishati ya Umeme unaounganisha nchi za Tanzania na Zambia, Mradi wa Umeme Vijijini (REA) katika mikoa ya Tanzania Bara na Mradi wa Maji safi na Usafi wa Mazingira katika miji inayozunguka Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Anayeshuhudia katikati ni Mwakilishi mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (ADF) Bi. Stephanie Essombe, Jijini Dar es Salaam. 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (ADF) Bi. Stephanie Essombe, wakisaini Hati za moja ya Mikataba ya Mkopo nafuu wa shilingi bilioni 592.57 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Nishati ya Umeme unaounganisha nchi za Tanzania na Zambia, Mradi wa  Umeme Vijijini (REA) katika mikoa ya Tanzania Bara na Mradi wa Maji safi na Usafi wa Mazingira katika miji inayozunguka Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Anayeshuhudia katikati ni Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, Jijini Dar es Salaam
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (ADF) Bi. Stephanie Essombe, wakionesha Hati za Mikataba ya Mkopo nafuu wa shilingi bilioni 592.57 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Nishati ya Umeme unaounganisha nchi za Tanzania na Zambia, Mradi wa Umeme Vijijini (REA) katika mikoa ya Tanzania Bara na Mradi wa Maji safi na Usafi wa Mazingira katika miji inayozunguka Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Anayeshuhudia katikati ni Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, Jijini Dar es Salaam

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.