Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Monduli Ndg. Langael Akyoo akimkabidhi Fomu ya Kuwania kuteuliwa na CCM Ubunge wa Jimbo la Monduli Mtoto wa Lowassa Fredirick Lowassa, alipofika Ofisi za CCM Wilaya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na kupeperusha Bendera ya CCM katika Ubunge.
Mtia nia Kugombea Ubunge Jimbo la Monduli Mtoto wa Lowassa Ndg. Fredick Lowassa akisaini daftari wa kuchukua fomu wagombea Ubunge kupitia CCM alipofika Ofisi za CCM Wilaya ya Monduli kwa ajiuli ya kuchukua fomu lao kuwania nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment