Habari za Punde

Zoezi la Uchukuaji wa Fomu za Uwakilishi,Ubunge na Udiwani Wafikia Kikomo Leo Saa Kumi Jioni Vijana Wengi Wamejitokeza Katika Kinyanganyiro hicho

KAIMU Katibu wa CCM Wilaya ya Amani, Ashraf Sale Zungo, (kulia) akipokea fomo ya Daud Mohamed Salum, ambae amekamilisha taratibu zote za ujazaji wa fomu hizo za kuwania uwakilishi wa Jimbo la Mpendae
KATIBU wa CCM Wilaya ya Dimani, Yussuf Ramadhan akimkabidhi akimuelekeza namna ya kujaza fomu ya kuombo ridhaa ya  kuchaguliwa kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Pangawe, Juma Ambari Abeid 
KATIBU wa CCM Wilaya ya Dimani, Yussuf Ramadhan, akimkabidhi fomu ya kuombo ridhaa ya  kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Pangawe, Said Abdull Ahmed 
KAIMU Katibu wa CCM Wilaya ya Amani, Ashraf Sale Zungo, (kulia) akimkabidhi fomu ya kuombo ridhaa ya  kuchaguliwa kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni, Rashid Makame Shamsi, ambae alikua Mwakilishi Jimbo hilo kwa kipindi kilichopita 
MWANACHAMA wa CCM, Said Hamed Haroub, (kulia) akipokea fomu ya kugombea ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Uzini,  katika ofisi CCM Wilaya ya Kati Unguja
MWANACHAMA wa CCM, Fatma Adam Salum, (kushoto) akipokea fomu ya kugombea ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Bububu,  kutoka kwa Katibu wa Wilaya ya Mfenesini, Asha Mzee Hassan.
 (PICHA NA ABDALLA OMAR). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.