Habari za Punde

Baadhi ya Vyombo Vya Habari Kuingilia Majukumu ya Tume - Dk. Wilson.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera Charles akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dodoma jana kuhusiana na baadhi ya vyombo vya Habari kuingilia majukumu ya Tume kwa kuanza kutangaza matokeo ya uteuzi kwa nafasi za Ubunge na Udiwani kinyume na Sheria Jambo ambalo linaweza kusababisha uvunjifu wa amani. (Picha na NEC).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.