Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Ataka Mikakati Zaidi Matumizi ya Nishati
Safi Kwenye Magereza *Asema Rais Dkt. Samia ameonesha njia kwenye matumizi
ya nishati safi. *Alipongeza Jeshi la Magereza kwa kuanza kutekeleza kwa
vitendo matumizi ya nishati safi.
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua matumizi ya Nishati Safi ya kupikia
katika Magereza 129 nchini. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Gereza la Karanga
...
10 minutes ago
No comments:
Post a Comment