Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi (CUF ), Profesa Ibrahim
Harouna Lipumba akimtambulia Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Ndg. Mussa Haji
Kombo, wakati wa mkutano wa ufunguzi kampeni uliofanyika katika uwanja wa Michezo
Tibirinzi Chake Chake Pemba
Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim
Harouna Lipumba akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CUF, Mgombea Urais wa Zanzibar Ndg. Mussa Haji Kombo, wakati wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho
zilizofanyika uwanja wa Michezo Tibirinzi Chake Chake Pemba.
MGOMBEA Urasi wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha CUF, Profesa Ibrahim Harouna
Lipumba akizungumza na wananchi wa Mikoa miwili ya Pemba, wakati wa ufunguzi wa
kamapeni za chama hicho zilizofanyika uwanja wa michezo Tibirinzi Chake Chake
Pemba
Mgombea Urais wa
Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi (CUF) Ndg. Mussa Haji Kombo, akiwahutubia
wananchi na wanachama wa chama hicho Kisiwani Pemba, wakati wa ufunguzi wa
kampeni wa chama hicho zilizofanyika uwanja wa Michezo Tibirinzi Chake Chake Pemba
No comments:
Post a Comment