Wananchi wa Kondoa, wakimsikiliza, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati alipowahutubia wananchi hao, katika mkutano wa kampeni, Septemba 13, 2020.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa Kondoa, katika mkutano wa kampeni,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Kondoa Mjini, Makoa Ally Juma, katika mkutano wa kampeni,
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Kondoa, Dkt. Ashatu Kijaji, katika mkutano wa kampeni,
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment