Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Amjulia Hali Mama Maria Nyerere Mkoani Mara


Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akimsalimia Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara,
 Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mtoto wa Hayati Julius Nyerere, Madaraka Nyerere, wakati alipowatembelea, nyumbani kwa Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara.
Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara
Mjumbe wa Kamati Kuu,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na Mama Maria Nyerere, wakati alipomtembelea, nyumbani kwake Butiama, akiwa kwenye kampeni ya CCM mkoani Mara



 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.