Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Mhe. Goerge Joseph Kazi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini hati ya Kiapo ya Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe. Goerge Joseph Kazi baada ya kuapa hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Viongozi wa Dini na Washauri wa Rais wa Zanzibar wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar Mhe.George Joseph Kazi iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment