Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Amejumuika na Wanafunzi Waliofanya Vizuri Mitihani yao ya Taifa Kidatu cha Sita na Kidatu cha Nnw 2019/2020 Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Chakula Maalum aliowaandalia Wanafunzi wa Skuli za Sekondari wa Kidatu cha Sita na cha Nne kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa kwa mwaka 2019/2020, na kuwazawadia zawani wanafunzi hao hafla iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar. 

3 comments:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.