Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Chakula Maalum aliowaandalia Wanafunzi wa Skuli za Sekondari wa Kidatu cha Sita na cha Nne kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa kwa mwaka 2019/2020, na kuwazawadia zawani wanafunzi hao hafla iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
WAKULIMA KUNUFAISHWA NA (TBL) KUPITIA MASOKO YA KIKANDA
-
KAMPUNI ya Tanzania(TBL) imedhamiria kuwasaidia wakulima nchini kwa
kutambua uwezo wao wa kulisha watu, viwanda, na biashara katika ukanda huu
kupitia mika...
4 hours ago
Tunaomba muzipost picha nyengine
ReplyDeleteTunaomba mutume picha zato za wanafunzi ma mh.rais
ReplyDeleteTunaomba picha zote za wanafunzi
ReplyDelete