Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Chakula Maalum aliowaandalia Wanafunzi wa Skuli za Sekondari wa Kidatu cha Sita na cha Nne kwa kufanya vizuri Mitihani yao ya Taifa kwa mwaka 2019/2020, na kuwazawadia zawani wanafunzi hao hafla iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
DKT POSSI AHIMIZA UWAJIBIKAJI BARAZA LA WAFANYAKAZI LA TCAA
-
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi akiwasilisha hotuba
ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la TCAA linalofanyika
Morogoro
...
1 hour ago
Tunaomba muzipost picha nyengine
ReplyDeleteTunaomba mutume picha zato za wanafunzi ma mh.rais
ReplyDeleteTunaomba picha zote za wanafunzi
ReplyDelete