Habari za Punde

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya  CCM  jijini Dodoma 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya  CCM  jijini Dodoma 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa chama hicho Tawala (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu yaHalmashauri kuu ya CCM Kakamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally wakitoka katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM jijini Dodoma 
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.