Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Mwinyi Amejumuika na Waumini wa Kiislam Katika Sala ya Ijumaa Masjid Nunge Jijini Dodoma leo 6/11/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia mawaidha ya Sala ya Ijumaa katika Masjid Nunge Jijini Dodoma leo, alipojumuika na Waumini wa Kiislam wa Dodoma katika Sala ya Ijumaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa Sheikh Abdi Mussa, baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika leo 6/11/2020 katika Masjid Nunge Jijini Dodoma na (kulia kwa Rais) Sheikh. Mohammed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Masjid Nunge Dodoma Sheikh.Haji Ismai  Abdalla  baada ya kumaliza Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Jijini Dodoma

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.