Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar wakitekeleza agizo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar la usafi wa mazingira ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi Hafla iliyofanyika Idara ya Habari maelezo Rahaleo Zanzibar.
Kaimu Mkurugunzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Omar Said akishirikiana na watendaji wa Idara hiyo katika kutekeleza agizo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar la usafi wa mazingira ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi Hafla iliyofanyika Idara ya Habari maelezo Rahaleo Zanzibar.
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar wakitekeleza agizo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar la usafi wa mazingira ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za miaka 57 ya Mapinduzi Hafla iliyofanyika Idara ya Habari maelezo Rahaleo Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment