Habari za Punde

Naibu Waziri Mhe. Khamis Hamza Atembelea Miradi ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dodoma Kuwataka Kupitia na Kuheshimu Mikataba

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Khamis Hamza Khamis(aliyenyoosha kidole ,akiuliza maswali wakati alipotembela Mradi wa Nyumba nane za ghorofa ambazo gharama ya mradi huo ni Bilioni Sita huku tayari Rais John Magufuli amechangia Shilingi Bilioni Tano, nyumba hizo zinatarajiwa kuhifadhi jumla ya  familia themanini za askari.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.