Habari za Punde

Waziri Mkuu afungua Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kwenye maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa maonesho wa Julius Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam Leo Disemba 4, 2020 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Fundi Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Yahya Mohammed, kuhusu mashine ya kisasa ya kuchambulia mpunga katika maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania, LeoWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kiatu kilichontengezwa kwa bidhaa ya ngozi kutoka Tanzania, wakati akikagua mabanda katika maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa maonesho wa Julius Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam Leo 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia kifaa cha kusambazia mtandao ‘internet’ wakati alipotembelea banda la kampuni ya simu Tanzania (TTCL), kwenye maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania, Leo Disemba 4, 2020 jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.