Waziri wa nchi, Afisi Ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe Masoud Ali Mohammed amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mjini, Bw Said Ahmada Juma na Mkurugenzi wa Manispaa magharibi "A" Nd. Amour Ali Mussa na kuagiza kuanza kwa taratibu za uchunguzi juu ya tuhuma mbalimbali ikiwemo ubadhirifu wa fedha za mali ya Umma.
Dkt. Mpango Amwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Asasi ya
Siasa Ulinzi na Usalama ya SADC
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya
Siasa, Uli...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment