Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira ajitambulisha kwa Dk Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu  wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Ummy Mwalimu alipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 22/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza  na mgeni wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu  wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Ummy Mwalimu alipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 22/12/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu  wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Ummy Mwalimu walipofanya mazungumzo leo alipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 22/12/2020.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu  wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Ummy Mwalimu walipofanya mazungumzo leo alipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar(kushoto) Mkurugenzi wa Idara ya Muungano Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.[Picha na Ikulu] 22/12/2020. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.