Habari za Punde

Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Kutoka Timu ya Mlandege

Afisa wa Shirika la Bima la Taifa Lilian Manumbu akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Hafidh Abdi Kassim mchezaji wa Timu ya Mlandege baada ya kuibuka mshindi katika mchezo huo na Timu ya Azam uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Hafidh Abdi Kassim akipongezwa ba Baba yake baada ya kukabidhiwa zawadi yake na Afisa wa Shirika la Bima la Taifa Bi. Lilian Manumbu.(hayupo pichani) 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.