Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Azam na Mlandege Mchezo Ulifanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu Hizo Zimetoka Sare ya 1-1

Mshambuliaji wa Timu ya Azam Iddi Suleiman akimpita beki wa Timu ya Mlandege Ali Abdalla wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Beki wa Timu ya Azam Bruce Kangwa akiwa katika jitihada za kuokoa mpira galini kwa huku beki wa mshambuliaji wa timu ya Mlandege akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan jana usiku Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1. 
Mshambuliaji wa Timu ya Azama na Mlandege wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika jana usiku Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar. Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege Abuu Abubakari akimpita beki wa Timu ya Azam Aggrey Morris ,wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Azam Frank Raymond akijaribu kumpita beki wa Timu ya Mlandege Rashid Yussuf, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.


Mshambuliaji wa Timu ya Azam Yakub Mohammed akimpita beki wa Timu ya Mlandege Hafidh Abdi  wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1.
Mchezaji wa Timu ya Mlandege Mansor Omar na wa Timu ya  Azam Daniel Amoah wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.