Habari za Punde

Rais Hussein Mwinyi atembelea Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Pemba azungumza na wananchi wa Micheweni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Maendeleo ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)  Ndg. Shariff Ali Shariff, akitowa maelezo ya Eneo la Uwekezaji Micheweni Pemba (Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Pemba) alipofanya ziara kutembelea eneo hilo leo 5-1-2021,akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia wakati wa ziara yake kutembelea eneo la Uwekezaji Micheweni Pemba leo 3-1-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Mpango Mkuu wa Matumizi ya Ardhi Katika Maeneo Huru ya Uchumi ya Micheweni Pemba na Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Maendeleo ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Ndg. Shariff Ali Shariff, wakati wa ziara yake kutembelea eneo la Uwekezaji Micheweni Pemba leo 5-1-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Micheweni Pemba wakati wa ziara yake kutembelea Eneo la Uwekezaji la Micheweni Pemba leo 5-1-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Micheweni Pemba wakati wa ziara yake kutembelea Eneo la Uwekezaji la Micheweni Pemba leo 5-1-2021.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwahutubia wakatin wa ziara yake kutembelea eneo la Uwekezaji Micheweni Pemba leo 3-1-2021.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.