RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akisikiliza Hutuba ya Sala ya
Ijumaa ikitowa na Sheikh Khalid Ali Mfaume Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar,(hayupo pichani) ikisomwa kabla ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembezi Jijini Zanzibar
na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa
Mustafa Kitwana.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akiwasalimiana na kuzungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumaliza kwa Sala
ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar.
WAUMINI
wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia na
kuzungumza nao baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa
Miembeni Jijini Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akiitikia dua iliyosomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali
Mfaume, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa
Miembeni na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa
Mustafa Kitwana.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Waumini baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika
Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar .
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Waumini baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika
Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment