Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Amewaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi "A" Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Seif Shaban Mwinyi kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 25/1/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya kiapo cha Katibu Mkuu Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Ndg. Seif Shaban Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Mussa Haji Ali, kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt.Juma Malik Akil, kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Dkt.Juma Malik Akil, kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Masoud Hussein  Iddi, kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi. Khadija Khamis Rajab,kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar   hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Thabit Idarous Faina,kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais , hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Ndg.Thabit Idarous Faina, baada ya kumkabidhi hati ya kiapo baada ya kuapa kuwa Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais , hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Maryam Juma Sadalla ,kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Bi.Maryam Juma Sadalla ,kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt. Omar Dadi Shajak ,kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii WazeeJinsia na Watoto Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya kiapo ya Dkt. Omar Dadi Shajak ,kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii WazeeJinsia na Watoto Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg. Amour Hamil Bakar , kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Ndg.Ali Khamis Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Ndg.Ali Khamis Juma  baada kumaliza kuapa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dkt. Islam Seif Salum,kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na  Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leoNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.