Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Waumini wa Kiislam Katika Sala ya Ijumaa Iliofanyika Masjid Raudha Daraja Bovu Madukani leo 26-2-2021.M

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi alipowasili katika viwanja vya Masjid Raudha Daraja Bovu Madukani kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika leo katika Masjid hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Raudha akiwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa. 
Imamu wa Masjid Raudha Daraja Bovu Madukani Sheikh Ali Faki Abdalla akizungumza na kutowa shukrani kwa niaba ya Waumini wa Masjid Raudha kwa mchango wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi kuumalizia Msikiti huo, hafla hiyo imefanyika baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Waumini wa Kiislam wa Masjid Raudha Daraja Bovu Madukani na kupokea shukrani zao na kuwataka kujenga umoja na ushirikiano.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Raudha Daraja Bovu Madukani Wilaya ya Magharibi "B"Unguja.

Waumini wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na Wananchi na kupokea shukrani za Waumini wa Masjid Raudha Daraja Bovu Madukani Wilaya ya Magharibi "B" Unguja. wake katika msikiti huo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Raudha Daraja Bovu Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.
Viongozi wa Serikali na Chama akiwemwe Mbunge wa Jimbo la hilo wakitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Raudha Daraja Bovu Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Raudha Daraja Bovu Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Raudha Daraja Bovu Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akitoka katika Masjid Raudha Daraja Bovu Wilaya ya Magharibi “A” Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika leo katika msikiti huo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.