Habari za Punde

Maziko ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad

MWILI wa Marehemu aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ukishushwa katika Helikota ya  JWTZ baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ukitokea Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar a na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Aliu Mwinyi na (kushoto)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleimn Andulla na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magjaribi Unguja Mhe.Idreisa Kitwana Mustafa na Viongozi wengi wa Serikali na Chama wakiupokea Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amari Karume Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuangwa na Wananchi wa Zanzibar katika viwanja vya Mnazi mmoja na kusafirika kwenda Pemba kwa maziko leo jioni(Picha na Ikulu)
 WANANCHI wa Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Mnazi mmoja wakisubiri kusalia mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,katika viwanja hivyo kabla ya kusafirishwa kwenda Pemba kwa maziko.(Picha na Ikulu)

MAKANALI na Mameja wa JWTZ wakiwa wamebeka jeneza la Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad uliopowasiliu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kwa ajili ya kuagwa na Wananchi wa Zanzibar katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi na Viongozi wengi wakijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya kuusalia mwili wa marehemu aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, ilioongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, iliofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Zanzibar leo 18-2-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi na Viongozi wengi wakijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika Sala ya kuusalia mwili wa marehemu aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, ilioongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, iliofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Zanzibar leo 18-2-2021.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi na Viongozi wa Dini na Serikali wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Abdalla Talib, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuusalia mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, iliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi na Viongozi wa Dini na Serikali wakiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Abdalla Talib, baada ya kumalizika kwa Sala ya kuusalia mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, iliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Wananchi wakiitikia dua baada ya kumalizika Sala ya kumsalia  aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, iliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasilia Viongozi na kuwaaga baada ya kumalizika kwa Sala ya kumuimbea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, iliofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.