Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi akutana na uongozi wa bodi ya Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Ikulu Jijini Zanzibar leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation Dr. Adeline Kimambo akitowa maelezo ya utendaji wa Taasisi hiyo wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia akiwa na Mjumbe wa Bodi Dr.Ali Uki, mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Mkapa Foundation Dr. Ellen Mkondya Senkoro (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo ya Taasisi hiyo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazunguymzo na kujitambulisha na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Bodi ya Benjamin Mkapa Foundation Dr,Adeline Kimambo na Mjumbe wa Bodi Dr. Ali Uki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya Utekelezaji wa Taasisi ya Mkapa Foundation na Mwenyekiti wa Bodi Dr. Adeline Kimambo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Taasisi ya Benjaman Mkapa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Dr. Adeline Kimambo (kulia kwa Rais) na Mjumbe wa Bodi Dr. Ali Uki na (kushoto kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Mkapa Dr.Ellen Mkondya Senkoro na Mkurugenzi Mipango Bi. Rahel Sheiza.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.