Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kufungua Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Ubungo (Kijazi Interchange)
Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kamba kuzindua jina la Daraja la Juu la Ubungo
Interchange ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange mara baada ya
Rais Dkt. Magufuli kuliita Daraja hilo ili kutambua Utumishi uliotukuka wa Marehemu
Balozi Mhandisi John William Kijazi katika sherehe zilizofanyika Ubungo jijini
Dar es Salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzindua jina la Daraja la Kijazi
Interchange Ubungo jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akielekea sehemu ya chini ya la Daraja la Kijazi Interchange Ubungo
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini
TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakati akivuta utepe kufungua Rasmi Daraja la Juu
katika Makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa
linaitwa Kijazi Interchange leo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akielekea eneo la mkutano mara baada ya kufungua Daraja la Juu Kijazi
Interchange Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.
No comments:
Post a Comment