Habari za Punde

Makamu wa Rais Mhe Samia aendelea na ziara Mkoani Tanga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiondoa Kitambaa Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana  na Wananchi wa Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Muheza baada ya  kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiangalia Maji muda mfupi baada ya Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza katika Kijiji cha Pongwe Wilayani Muheza leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana  na Wananchi wa Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Muheza baada ya  kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana  na Wananchi wa Kijiji cha Pongwe Wilaya ya Muheza baada ya  kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.